All Clinics

Huduma za matibabu ya Macho

Kliniki ya Ngozi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala hutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya magonjwa mbalimbali ya ngozi kwa wagonjwa wa huduma za umma (Public), bima na binafsi (Private). Huduma hutolewa kulingana na ratiba ifuatayo:
Jumat...

Akina mama na akina baba wanapata huduma  za uzazi

Huduma za matibabu ya Moyo

Huduma za matibabu ya Kisukari
Kliniki ya Kisukari hutoa huduma za uchunguzi, matibabu na ufuatiliaji wa wagonjwa wa kisukari kwa watu wazima na watoto. Jumatatu, Jumatano na Ijumaa ni siku za ufuatiliaji wa wagonjwa watu wazima na utoaji wa dawa; Juman...

Kliniki ya Watoto hutoa huduma za uchunguzi, matibabu na ufuatiliaji wa afya kwa watoto. Jumatatu, Jumatano na Ijumaa ni siku za Kliniki ya Umma (Public Clinic), huku Jumanne na Alhamisi zikitengwa kwa Kliniki Binafsi (Private Clinic) kuanzia saa 2:00 asu...