MWANANYAMALA RRH YANG'ARA KWA USHINDI KATIKA BONANZA LA MICHEZO YA CHUO CHA USTAWI WA JAMII Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala leo imekuwa kivutio kikubwa kwa kuibuka na ushind... Read More
Habari
DKT MOLLEL ARIDHISHWA NA UBORA WA HUDUMA HOSPITALI YA MWANANYAMALA Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameridhishwa na hali ya utoaji huduma bora kwa wananchi wanaofika kupata ... Read More
MWANANYAMALA RRH YAUNGANA NA TAASISI ZINGINE ZA AFYA KUADHIMISHA WIKI YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KITAIFA Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala inashiriki maadhimisho ya Wiki ya Magonjwa... Read More
MWANANYAMALA RRH YAADHIMISHA SIKU YA WATOTO WANAOZALIWA KABLA YA WAKATI KWA KUFANYA MATEMBEZI YA HISANI Katika Kusheherekea Maadhimisho Siku ya Watoto wanaozaliwa Kabla ya wakati kw... Read More
Mganga Mfawidhi (Medical Officer in-Charge) Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Dr. Zavery Benela ameibuka mshindi katika tuzo zilizotolewa usiku wa tarehe 04 Oktoba na Taasisi ya ... Read More
Katika kuadhimisha wiki ya Afya ya akili Duniani, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala imeandaa maadhimisho hayo kwa kutoa elimu na uchunguzi wa afya ya akili, uchangiaji d... Read More
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Dr, Zavery Benela leo amepokea vifaa tiba kutoka Taasisi ya Bima ya Taifa ikiwa ni sehemu ya shughuli za kurudisha kwa jam... Read More
Katibu wa Afya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Ndg. Rajabu Omari, Leo amewapongeza na kuwashukuru Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa kuchangia dam... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala kwa kushirikiana na Taasisi JAI Tanzania leo imeadhimisha kilele cha wiki ya Wiki ya JAI Kitaifa, maadhimisho yaliyofanyika katika viwa... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala kwa kushirikiana na Taasisi ya JAI Tanzania katika kuadhimisha Wiki ya JAI Kitaifa wamehamasisha na kuendesha zoezi la uchangiaji damu katika... Read More