MOI MWANANYAMALA RRH, MSHINDI MOI BORA WA MWAKA 2023 KATIKA TUZO ZA TANZANIA HEALTH SUMMIT

Posted on: October 4th, 2023

Mganga Mfawidhi (Medical Officer in-Charge) Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Dr. Zavery  Benela ameibuka mshindi katika tuzo zilizotolewa usiku wa tarehe 04 Oktoba na Taasisi ya Tanzania Health Summit.

Tuzo hizo zimetolewa kwa lengo la kuwatambua watendaji wa afya wanaofanya vizuri katika ngazi mbalimbali za kiutendaji.