Saratani ya Ngozi
Posted on: February 23rd, 2020SARATANI YA NGOZI
Saratani ya ngozi zipo za aina nyingi. Katika mada hii saratani ya kaposis saicoma imejadiliwa. Imejadiliwa. Mambo yanayoongeza uwezekano wa kupata saratani hii ni;
- Kuwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI
- Upungufu wa kinga mwilini
Dalili zinazoweza kujitokeza
- Mapele meusi na magumu yasiyouma kwenye ngozi
- Kuvimba miguu na ngozi kuwa ngumu
Kujikinga na saratani ya ngozi
- Epuka ngono zembe
- Kufuata ulaji na mtindo bora wa maisha