Kambi ya Matibabu Mwananyamala RRH
Posted on: January 9th, 2023Wananchi wakiwa kwenye kambi ya matibabu inayoendelea kufanyika katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Mwananyamala Kambi hii inajumuisha Madaktari bingwa kutoka hospitali yaTaifa Muhimbili Mloganzila kwa kushirikiana na madaktari bingwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala.