Tehama

kitengo cha tehama ni kitengo mahususi saidizi kinachojihusisha na usumamiaji wa teknolijia ya habari na mawasiliano ndani ya hospitali, pamoja na hayo majukumu ya kitengo cha tehama ni kama ifuatavyo;

  • Kuhakikisha upatikanaji wa Mifumo ya Utoaji matibabu ndani ya Hospitali
  • kuhakikisha mtandao kiambo ndani ya Hospitali inakuwa Madhubuti
  • Kusaidia watuamiaji kujua jinsi ya kutumia mifumo ya Kiteknolojia
  • Kuhakikisha vifaa vya kiteknolojia vinakuwa katika mazingira Bora katika utendaji wake wa kazi.