Mafunzo: Usafi Binafsi na Usafi wa Mazingira

Posted on: August 8th, 2023

Hospitali ya Rufaa ya mkoa Mwananyamala imefanya Semina elekezi ya usafi binafsi na usafi wa mazingira kwa wanachama wa Taasisi ya JAI Tanzania ili kuwajengea uwezo na uelewa wa namna ya kujikinga ba kuzuia maambukizi wakati wa kufanya usafi katika mazingira ya hospitali wanapofanya shughuli zao za kitaasisi za kusaidia wagonjwa na wasiojiweza.