Mafunzo ya Uchangiaji Damu
Posted on: August 9th, 2023Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala kupitia kitengo cha Damu Salama imetoa mafunzo ya Uchangiaji damu kwa wafanyakazi wa kampuni ya DERM Group ikiwa ni sehemu ya kujenga uelewa kwa jamii juu ya umuhimu na faida za uchangiaji damu.