MWANANYAMALA RRH YANG'ARA KWA USHINDI KATIKA BONANZA LA MICHEZO YA CHUO CHA USTAWI WA JAMII Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala leo imekuwa kivutio kikubwa kwa kuibuka na ushind...Read more

Karibu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala ni Hospitali ya Umma inayohudumia wakazi takribani millioni 2.2 wa Mkoa wa Dar es Salaam na Viunga vya Jirani, sana sana wakazi wa wilaya za Kinondoni na Ubungo. Ikiwa na Maono ya k...
Read moreHuduma za upasuaji
Huduma za upasuaji zinazopatikana Mwananyamala na zinapatikana katika:
In-patient Services comprises of 12 wards which are,
Huduma za Maabara
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Inatoa Huduma Zifuatazo;
MWANANYAMALA RRH YANG'ARA KWA USHINDI KATIKA BONANZA LA MICHEZO YA CHUO CHA USTAWI WA JAMII Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala leo imekuwa kivutio kikubwa kwa kuibuka na ushind...Read more
Ni nini chanzo chake
Saratani ya shingo ya kizazi husababishwa na aina ya kirusi kinachoitwa Human Papilloma (HPV). Kirusi hiki huambukizwa kwa njia ya kujamiiana na mtu mwenye maambukuzi ya HPV
Dalili zake
... read more
Saratani ya matiti ni uvimbe katika titi usiokuwa na maumivu. Mwanamke yeyote anaweza kuwa nao biia yeye mwenyewe kujua. Ni muhimu kila mwanamke kufahamu jinsi ya kujichunguza mwenyewe ili kugundua mapema kama anao ugonjwa.
... read moreSaratani ya ngozi zipo za aina nyingi. Katika mada hii saratani ya kaposis saicoma imejadiliwa. Imejadiliwa. Mambo yanayoongeza uwezekano wa kupata saratani hii ni;
Mambo yanayoongeza uwezekano wa kupata saratani ya mapafu
Dalili zinazowezesha kujitokeza
Magonjwa ya Saratani
Saratani hutokea wakati sehemu ya mwili inapokua na kuongezeka bila utaratibu na kusababisha uvimbe. Kwa kawaida saratani huanza taratibu na huchukua muda kuonyesha dalili zozote. Pia dalili za awali haziambatani na maumivu hivyo k...
read more