Ukaribisho
Dr. Zavery P. Benela
Mganga Mfawidhi
Karibu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala.
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala ni Hospitali ya Umma inayohudumia wakazi takribani millioni 2.2 wa Mkoa wa Dar es Salaam na Viunga vya Jirani, sana sana wakazi wa wilaya za Kinondoni na Ubungo. Ikiwa na Maono ya kuwa Hospitali inayoongoza kwa kutoa huduma za kirufaa za mikoa zenye ubora uliotukuka kiafya.